Naombeni msaada Mawakili wasomi

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Kindly supply to me application for extension of time to appeal out of time criminal case, original jurisdiction Ni D'court . Its Urgent Learned
 
Ungeandika habari za diamond au harmonise na kajala ungepata wachangiaji,
Uzuri hizo habari za Harmonise na Diamond kada zote tunazifahamu na tungempa ushauri wa kutosha... ila hio issue yake hata kuielewa sijaelewa katumia technical language specific to lawyers ndio maana wachangiaji wengine hakuna. Mpaka mwanasheria tu.... hivyo asubiri lawyers tu.
 
Back
Top Bottom