Naombeni msaada kwenye kesi ya kikazi

Myhope

Senior Member
Jul 20, 2017
154
67
Hivi tuhuma kwenye barua ya kusimamishwa kazi inaweza kuwa tofauti na tuhuma kwenye barua ya kufukuzwa kazi?
 
Inategemea.katika barua ya kusimamishwa kazi sababu zinaweza kuwa ni ili kupisha uchunguzi, au tuhuma za makosa uliyoyatenda mfano wizi au utovu wa nidhamu.Lakini katika barua ya kufukuzwa kazi makosa uliyoyatenda yanatakiwa yawe tayari yamethibitishwa na sio tuhuma tena kama ilivyokuwa kwenye barua ya kusimamishwa kazi.mfano kama katika barua ya kusimamishwa kazi kulikua na tuhuma za wizi na utovu wa nidhamu, barua ya kufukuzwa kazi inaweza kutaja makosa yote hayo,mojawapo ya makosa hayo au makosa mengine yaliyogunduliwa uliposimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi.
 
Kosa kama la wizi linathibitishwa wp?
 
Litathibitishwa mahakamani,kama ofisi itakufungulia mashtaka.otherwise watakufukuza kwa kosa la wizi,na wewe kuanzia hapo utaweza kulalamika kufukuzwa kazi kwa tuhuma zisizo halali.
Charles naweza pata namba yako nikucheck inbox kwa msaada zaidi?
 
Back
Top Bottom