Wazo zuriNipe namba ya nasra , then akinikubalia mimi siku nakutambulisha kama shemeji kwake, apo nitamwambia aikunganishie au ata nikiwa na simu yake ntachukua namba a huyu umpendae nikupe.
Mambo maxuri hayataki haraka,
Issue sio hela issue gia ipi nitaingia ili kumpa rafiki wa nasra ikiwa nasra ame fall in love with me hapo ndo msaada ninaohuitaji maana siwez kupata number yake bila kupitia nasra.Hujui kazi ya hela? Emu iambie wallet yako ikuelekeze
Wewe ujaelewa Sina uhusiano wa mapenzi na nasra sema nasra ananitaka kimapenzi ingawa me moyo wangu haupo kwake me namtaka rafiki yake na rafiki yake Sina number ya simu nasijui ana kaa wapi kiufupi sijui details zake so only way ya kupata ni kwa nasraTwisted story,
Una date na Nasra, umemtamani rafiki yake Nasra ambaye ni shombe shombe, unashindwa kupata mawasiliano sababu lazima yapitie kwa Nasra.....
Me; Try Social Media trick, simple and easy but if you get caught take me out of your mess.
We ndo kidogo umetoa ushauri mzuri.Tafuta social media anazotumia nasra angalia marafiki zake Kama yupo huyo utajua ufanye Nini..
So unataka nijitoe mzima mzima?si number hapo nitakosaMwambie unamtaka rafiki yake acha kujinafikisha nafikisha.
So una hata ushauri wakunipa?
Nimempenda.Umemtamani au umempenda?