naombeni msaada kwenye Computer yangu.

naombeni msaada kwenye Computer yangu.

Chacha Steven Mokiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
2,008
Reaction score
2,232
an operating system wasn't found.Try disconnecting any drivers that dont contain an operating system.
PRESS CRTL+ALT+DEL to restart .

Naandikiwa hivi pindi nkiwasha pc aina ya TOSHIBA SATELLITE
 
Kama umechomeka flash au kuna cd kwenye mlango toa.

Kama bado haiwaki. Nenda kwenye settings na useti boot iwe inaanzia kwenye driver yenye operating system.

Kama haitowaka. Pengine driver haijachomekwa vizuri, ichomeke vizuri.

Kama haiwaki itakua driver umeiformat mpaka ukaondoa operating system hivyo piga windows
 
nikitaka kuinstall wndow pia inarudia hvohvo.
 
nimesety USB (Flash) as first priority ambayo ina window10
Yaani ili mashine iwake kwa kutumia hiyo windows au unataka kuinstall windows na ndo umechomeka hiyo flash yenye windows 10?
 
ipo probability HDD ni mbovu ama imeachia, jaribu kufungua nyuma ya laptop itoe kisha irudishe.
 
Back
Top Bottom