Naombeni msaada kwa anayefahamu!

Naombeni msaada kwa anayefahamu!

teflon_1880

Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
49
Reaction score
12
Habari yenu wakuu!

Nimekuja mbele yenu nahitaji msaada.....

Nahitaji kupata location ya mtu hadi anapoishi kwa kutumia namba yake ya simu pia naona simu

yake iko hewani.

kama unajua software yoyote inaweza kunisaidia naomba link na maelekezo please......!


Asanteni!
 
Si hiyo wanafanya wenyewe huko kwenye makampuni ya simu?
 
Nenda polisi fungua kesi, polisi wana kifaa cha kumuona mpaka alipo.

Bunyebunye
Ndugu yangu polisi nimeenda ila kushugulikiwa kwa kesi inaonekana ni tatizo.....na RB ninayo kila nikienda napigwa tarehe!
 
Back
Top Bottom