We rudi tu usitishwe na mtu, kwani maisha nipopote. Kabla ya kwenda huko naamini uliishi hapa, na ulienda kujaribu. Unaweza kuja kujaribu hapa tena ukatusua. Maisha yako hivyo na hayana bima. Life is how you make it.Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Kama umekaa miaka yote hiyo na unaandika kiswahili fasaha kiasi hiki ukija hutakosa, cha kufanya, kama vipi njoo 2020, tutakuwa na uhaba wa wabunge.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Hahaha samahani huu sio ushauri mzuri, kutegemea watoto. Mpe ushauri wa yeye kusimama kivyake, kuwategemezi wa mtu sio ushauri.Watoto wako,wako in position kukusaidia?
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
1usd=2300TshHabari wana jf.

Hahaha samahani huu sio ushauri mzuri, kutegemea watoto. Mpe ushauri wa yeye kusimama kivyake, kuwategemezi wa mtu sio ushauri.
Yaani wewe mtu akushauri, eti nenda kwa baba mdogo wako, au kwa shangazi yako?! Mpe namna ya ku survive like we all do. Maisha hayana hero, tunakimbia kimbia tu mwisho we all end the same place best.
Wewe mtoto weweDar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
Dereva daladala hutaki kupanda daladala...Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Hii ndio comment bora sana kwangu. Hakika 51 sio umri mkubwa sana, brother yangu alirudi na 48 hakuwa na mke wala mtoto, wala nyumba wala chochote, makaratasi yake ya Hadi Master alipoteza, amefight yuko vizuri sasa, ameoa, amejenga na ana watoto watatu sasa maisha yanasonga.Hata 51 sio mbaya... kama alijitunza vizuri na akanusurika na maradhi, 51 mtu anakuwa na nguvu za kutosha!
Mkuu Anithape, aidha sasa or never manake, kama akiba yenyewe ndo hiyo, ina maana unakuja bila pesa ya kuanzia na kwa maana nyingine mtaji wako ni nguvu na akili zako! Kwa umri ulionao sina shaka bado una nguvu za kutoka na akili inachemka na kwahiyo unaweza kufanya jambo!
Utakuja kuongeza idadi ya maskini Tz tuzidi kushuka viwango vya dunia. Kaa hukohuko ukizeeka utatunzwa na sirikali (labda) huku hamna rangi utaacha ona.
Bora yako wewe mimi nilirudi na rasta na tattoo kutoka south
Maisha haya..!
Dar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
[emoji38] sijawahi kuona muomba msaada kiburi kama wewe eti chakula kizuri sio nafaka