Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
Kwa miaka uliyokaa huko kwa mwezi ulikuwa una-save dola ngapi ndio mpk leo ziwe 18000. Bora ubaki tu hukohuko uendelee kupambana tu la sivyo utakuja kuokota machupa ya palstick huku
Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
Kama kwa miaka 26 amekusanya dola 1,800 sawa ni dola 70 kwa mwaka. Hadi afikishe dola 6,000. Kwa mantiki io itabidi aikusanye kwa miaka kama 52,jumlisha umri alionao....