Naombeni msaada kurudi bongo

Naombeni msaada kurudi bongo

Anithape

Senior Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
131
Reaction score
136
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
 
Duh, ndugu nyumbani ni sehemu gani, jee uko tayari kwenda kuishi kijijini.
 
Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Utateseka mkuu...Hapo una chini ya Tshs milioni 5 yani utaishia kulipa kodi ya miezi sita na kununua vyombo vya ndani. Nakuhakikishia jipange walau uwe na walau USD elfu 7 uje uwekeze kimradi vinginevyo sikushauri urudi kwa kiwango hicho unaweza kukata tamaa ya maisha na unaweza hata kujidhuru
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Yani USD 1800 Zinakupa jeuri ya kutamka Kwa majivuno kiasi cha kujigamba hivyo? Bora ubakie hukohuko mkuu, hiyo pesa haitoshi kabisa kufanya hayo unayo dream ! Utakuja kujuta bure
 
Nauli ya kurudia ni sehemu ya hiyo dola 1800? Uko nchi gani? Umeoa au ni Senior Bachelor? Hadi unafikia umri wa miaka 51 bado haujaamua utaseto wapi maisha ya uzeeni? Unafuatilia kujua mabadiliko ya dola na shilingi? Unaomba usaidiwe au anaongea kwa dhihaka? Unaaminisha kweli au umetumia lugha tata kufikisha manung'uniko yako dhidi ya current regime? Nina maswali mengi lakini naomba unijibu hayo ili nione namna ya kukushauri.
 
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Sijakuelewa, dola 1800 ni kama 4.1 milioni tshs. Sasa unataka kurudi bongo na hiyo dola 1800 ule, ulale, ufanye kila kitu kwa muda gani? maana hiyo hela kwa masharti uliyoweka utatumia wiki mbili tu. Kama una lengo la kurudi halafu ukae wiki mbili tu inatosha. Karibu.
 
Le Mutuz na yeye alirudi Bongo akiwa na umri around na huo na hivi sasa nasikia yeye ndo King of Social Networks! Sasa wewe ukitua Bongo itabidi ufungue Instagram Account na ujiite Zee la Mastory Ya Mbele! Au nikukopeshe jina langu nililokuwa natumia miaka hiyo, enzi hizo kabla ya JF... Mr. Experience, na stori zangu za kuuza Tanzanite wakati hata Arusha kwenyewe sikujui!

Dah! Ujana raha sana!!
 
Pole sana. Yani unakaribia umri wa kustaaf na mfukoni una pesa isiyozidi milioni nne ya Kitanzania? Huna nyumba, huna kiwanja huna chochote huko ughaibuni na pia huku Bongo? Ukija huku utakufa kwa stress. Watu wa umri wako wameshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Umepoteza muda mwingi kwenye nchi za watu. Lait hata ungerudi mapema, now ungekuwa na mashamba ya machungwa huko Upareni, usinge kufa njaa!
 
Mkuu
Kwa Umri Wako Rudi Home Uje Uishi Namna Mungu Atakavyokujaria
Maana Hadi Sasa Huko Ulipo Naamini Unapoteza Muda Tu Wala Huwezi Kuwa Na Jipya Zaidi

Kuhusu Dollars 1800 Kwa Tanzania Hiyo Ni Pesa Ndogo Sana Hasa Imeonekana Hutaki Kuendesha Daladala Ila Millions 4 Hata Gari Mfano Ukinunua Utaweza Kuweka Mafuta.

Tanzania Kwasasa Ipo Vema Rudi Tu
 
Unapozungumzia fursa, unamaanisha fursa za kibiashara , ajira, ama nini? Kama ni ajira kwani husikii ama kusoma hapa kila siku ajira hamna? Unfortuanately, hata kama zingekuwepo education na umri wako already ni tatizo. Kuhusu kutoka kibiashara, kama huna makazi tayari (nyumba yako binafsi),and a business that is already thriving I dont see how $1800 zitakufukisha popote. Hopefully, you are joking! Ama la we endelea na box tu achana na mawazo ya bongo.
 
Pole sana. Yani unakaribia umri wa kustaaf na mfukoni una pesa isiyozidi milioni nne ya Kitanzania? Huna nyumba, huna kiwanja huna chochote huko ughaibuni na pia huku Bongo? Ukija huku utakufa kwa stress. Watu wa umri wako wameshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Umepoteza muda mwingi kwenye nchi za watu. Lait hata ungerudi mapema, now ungekuwa na mashamba ya machungwa huko Upareni, usinge kufa njaa!
Huyu Mh Kachelewa Sana
Alitakiwa Arudi Enzi Za Awamu Ya Nne
Amechelewa Ila Arudi Tu
 
Back
Top Bottom