Naombeni Msaada Kuhusu Hii Computer (PC)

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,367
Reaction score
55,054
Nimekuwa natumia mara nyingi hii PC tangu 2015 ila miezi michache iliyopita ilianza kuonesha mstari katikati ya Kioo, Mstari huu unafanya nishindwe kutazama video au kutumia baadhi ya Programu maana upande mmoja inaonesha safi ila mwingine inaonesha maruweruwe.

Naombeni Msaada maana nimepiga Window ila imebaki vile vile.

 
Kioo kinaenda kufa ,..chukua monitor unganisha kwenye VGA ya laptop yako.
Ukiona kioo kinaonyesha jua kioo kimekufa.
NB:make sure mkanda wa display yako umedisconect from motherboard.
 
sometime inakuwa ni mkanda tu umelegea, kama una ufahamu kidogo ifungue kisha jaribu kuupachika vizuri.
 
Nikiwa Ethiopia kuna kompyuta yangu ilifanyaga hivyo nikaitupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…