Jamani embu nishirikisheni
uzoefu wenu kwa shule
mlizosoma au ambazo
mnazijua zilizofanikiwa
kwenye masomo. Je,
wanafunzi wanapimwa mara ngapi kwa term
(mitihani)? Na je,ni % ngapi
hutolewa kwa kila mtihani
na hatimaye kupata
wastani wa muhula mmoja?
Uzoefu wangu kwa shule nilizosoma na
ninazozifahamu,wanakuwa
na monthly test 25%(mara
moja tu kabla ya midterm
na terminal au annual
exams) na midterm exam 75%(aprl and sept).
Naomben mnisaidie hapo
haraka iwezekanavyo.