Naombeni msaada juu ya maambukizi ya ukimwi

Neema j swai

Senior Member
Mar 27, 2017
177
101
Habari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila kumwamin kama hakujikata kwel Bdo vigumu
 
Umejikata lini mkuu? Nenda kapime tu.
 
Mkuu....

Kama bado aziisha siku 3, nenda hospital watakupima kujua kama ulishaathirika kabla, na kama bado watakupa dawA zinaitwa PEP Unakunywa mwezi ili zikukinge na maambukizi.....!
 
Vyovyote itakavo kama una jihisi uli ji contamineted na uwo wembe ambao ume tumika na patient ambao ni known case ya HIV +, kama bado uko ndani ya masaa 72 wahi hosptal CTC watakupa ushauri utapima HIV iwapo utakutwa ni NEGATIVE uta pimwa Kg then utapewa PEP ( Arvs) utameza kwa siku 28 then utakuwa una control HIV rapid test kwa miezi 3, na utakuwa salama.

Angalizo: ikisha pita masaa 72 PEP haitafanya kazi itabid uanze ARvs kama wagonjwa wengine wa HIV.
 
Habari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila kumwamin kama hakujikata kwel Bdo vigumu
ingelikuwa hivyo basi binadamu woote tungekuwa na ukimwi. haiko rahisi kama unavyodhania .ila waweza pata au la cha kufanya nenda ka check
 
Asante japo kwenda kuchek inahitaj moyo unaweza kufa kabla majbu hayajatoka
Sasa kama ulikuwa unagawa utamu hovyo hovyo what do you expect nenda kapime kama utakuwa negative utapewa hizo PEP ila kama uko positive ndio ujiandae na hayo ma ARVs....

Kila la kheri....
 
Hv umeelewa nlichoandka nmesema nmejkata na wembe bahat mbaya uliotumiwa na mtu aliyeathirika japo mwenyew nmemukiza akaniambia ameutumia ila hajajikata nao kugawa utamu kumeingiaje hapo xaxa
 
Embu refer ulicho comment hapo juu kwamba unaweza ukafa kwa presha kabla majibu hayajoka ... Hiyo inamaanisha hujiamini na inaonesha wazi ulikuwa mtu wa kujiachia sana
 
Kukuelewesha ww kaz nlipma mm ni mzma ila baada ya kukatwa na huo wembe aliotumia huyu mwathirika ndonmekuwa na wacwac japo cna uhakika kama naweza nikawa na maambukiz ila cunajua uoga lazma hv nn usichoelewa hapo
 
Sawa nimekuelewa labda sikuelewa ulicho comment... anyway possibility ya wewe kuupata hapo ni ndogo sana ila kwa uhakika zaidi nenda ukapime kujihakikishia uko safe....
 
Back
Top Bottom