East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,812
- 6,036
Unaweza ndio bossNimesoma PGM advance( physics,math and geography) je naweza chukua bachelor of marine engineering technology?
Unaweza ndio bossNimesoma PGM advance( physics,math and geography) je naweza chukua bachelor of marine engineering technology?
Itabidi usome kozi ya awali ya ubaharia(Mandatory certificate) ambazo ni;Nimesomea Custody Transfer for oil and Gas Accounting, And Pipeline System across the country natamani sana Kuwa Baharia Meli Za Oil or Gas
Shukran Sana Mkuu!! Na Kuhusu Ajira Zake Ni Sehem gani Tunatuma Maombi ya KaziItabidi usome kozi ya awali ya ubaharia(Mandatory certificate) ambazo ni;
1.Elementary First Aid (EFA),
2.Fire Fighting and Fire Prevention, 3.Personal Survival Techniques(PST),
4.Personal Safety and Social Responsibilities (PSSR) na
5. Ship Security Awareness (SSA) hizi unaenda kuzisoma DMI au Chuo chochote duniani kinachotambulika na IMO na kinatoa vyeti vya STCW.
Gharama za kusoma hizo kozi zote 5 Kwa bongo ni kama laki 7.2 za kitanzania.
Baada ya kumaliza kusoma hizo unatakiwa utafute seamen book ambayo ni kama kitambulisho chako baharia kinachotoa taarifa ya ujuzi wako,utaifa na meli ulizotumikia.
Kwa vile unataka uwe baharia wa meli za mafuta na gesi itakubidi usome na Kozi ya Ship Tanker bila hii uwezi kufanya kazi katika meli za mafuta au gesi.
Mkuu,nina Bachelor ya Human resource Management,kuna mtu ameniambia ninaweza kusoma mandatory course alafu badae nikawa captain baada ya kusoma tena mambo kadhaa bila kupitia bachelor degree. je ni kweli ?Ajira zipo za namana mbali mbali lakini zipo katika makundi 3 hivi.kuna bahari wanaokuwa engine room ambao wengi hasa ni ma engineer na wengine wakawa sio maengineer lakini kazi zao zinahusika na engine,kufuta oil,kukaza nati,kuwasha engineer nk.na hapo engine kuna wataalamu wa kila nyanja.
Mfano umeme,mechanics,boiler,nk.sehemu ya pili inaitwa deck.yaani deck ni sehemu yote ya juu maana engine room ipo chini kwahiyo juu kote hadi eneo la wazi juu.hapa ndio tunawapata manahodha,wafunga meli,ma watcher wakwenye meli nk.kundi latatu lenyewe lina hudumia watu wote hao kwa maana ya chakula na huduma ndogo ndogo.hapo unakutana na wapishi na wafanya usafi.
Mkuu,nimerudi na swali,nipe mchakato mzima wa kuja kuwa captain,hasa ningependa kujua kama inawezekana bila kupitia bachelor degreeUKIW
A NA SWALI ULIZA NITAKUJIBU
mkuu,je mimi mwenye bachelor ya HR, nikipiga hizo course,nipitie njia gani tena kuja kuwa captain ?Itabidi usome kozi ya awali ya ubaharia(Mandatory certificate) ambazo ni;
1.Elementary First Aid (EFA),
2.Fire Fighting and Fire Prevention, 3.Personal Survival Techniques(PST),
4.Personal Safety and Social Responsibilities (PSSR) na
5. Ship Security Awareness (SSA) hizi unaenda kuzisoma DMI au Chuo chochote duniani kinachotambulika na IMO na kinatoa vyeti vya STCW.
Gharama za kusoma hizo kozi zote 5 Kwa bongo ni kama laki 7.2 za kitanzania.
Baada ya kumaliza kusoma hizo unatakiwa utafute seamen book ambayo ni kama kitambulisho chako baharia kinachotoa taarifa ya ujuzi wako,utaifa na meli ulizotumikia.
Kwa vile unataka uwe baharia wa meli za mafuta na gesi itakubidi usome na Kozi ya Ship Tanker bila hii uwezi kufanya kazi katika meli za mafuta au gesi.
Inawezekana unaweza ukawa na machaguo mawili usome long course au short course mpaka kufikia hatua ya kuwa ofisa (kupata cheti Cha umahiri -Certificate of Competency (CoC)).mkuu,je mimi mwenye bachelor ya HR, nikipiga hizo course,nipitie njia gani tena kuja kuwa captain ?
Kozi yoyote Bandari Ina Department mbalimbali kama Finance,Marine,Civil, Electric, Finance,HR, Business.Kozi Gani Ukisoma Unaweza Fanya Kazi Bandarini
Kati Ya Marine Engineering, Maritime Transport Na Shipping And Logistics Management Ipi Itafaa Zaidi Apo Nataka Kufanya Kazi Bandari Za Hapa Nyumbani TzKozi yoyote Bandari Ina Department mbalimbali kama Finance,Marine,Civil, Electric, Finance,HR, Business.
Wewe ukafanye kazi ipi
Zote anafanya Kazi Bandari, saizi kuhusu kupata Kazi Serikali ategemee mpaka Utumishi watangaze kwaiyo hata Awe na Marine Engineering atakaa benchi kusubiri siyo ticket ya kupata Kazi direct.Kati Ya Marine Engineering, Maritime Transport Na Shipping And Logistics Management Ipi Itafaa Zaidi Apo Nataka Kufanya Kazi Bandari Za Hapa Nyumbani Tz
Sawa Mkuu NimekuelewaZote anafanya Kazi Bandari, saizi kuhusu kupata Kazi Serikali ategemee mpaka Utumishi watangaze kwaiyo hata Awe na Marine Engineering atakaa benchi kusubiri siyo ticket ya kupata Kazi direct.
Na asiumize kichwa kuwaza kuwa hizo kozi ulizotaja ndio kigezo Cha kufanya Kazi Bandari. Kuna kozi kama Afya,Kodi,IT,Uhasibu, Tally Clerk,Watu wa masijara, Sheria Wana ajiriwa na Bandari. Bandari Kuna idara nyingi kila fani Ina equal chance ya kupata ajira tofauti ni idadi ya nafasi kutokana na Uhitaji.
Mm nmesomea umeme wa magari je katika mfumo wa engine wa meli unahusiana kidogo niendeKwenye meli za kisasa Mtu wa IT anahitajika sana, usikate tamaa wewe umebakiza hatua ndogo ya kusoma kozi fupi za masuala IT za melini.
Kama utaenda kusoma DMI wao hawana kozi ya IT pale kuna Electro Technician Officer huyu kazi yake ni kufanya shughuli zote za umeme melini na vifaa vya umeme.Huyu anakuwa kwenye meli za kisasa.
Hayo mambo ya IT hapa Tanzania hawafundishi ila ndoto yako ni nzuri sana, umelenga kitu cha kipekee. Masuala ya IT melini huwa yana shughulikiwa na mafundi kutoka nje. Meli Ina mifumo mingi ya mawasiliano kama radar, radio,satellite, GPS na internet.
Hiyo kozi yako nakushauri kama unapesa jichange kasome hata short course nchi kama Serbia, Malta au South Africa. Sana jitahidi upate nchi za ulaya mashariki kule bei zipo chini.
Ukimaliza hayo masuala ya IT unaweza ukadeal na vifaa kama Radar,GPS na mifumo ya internet. Hao watalamu wapo wachache sana na utakuwa na wigo mpana wa kupata kazi.
Wewe itabidi usome Electro Technician Course na Utakuwa Electro Technician Officer katika meli majukumu Yako itakuwa ku Deal na umeme na mifumo yote ya electronic melini. Meli za Sasa ni za kisasa mifumo mingi ni umeme na hydraulic katika operation na hii kozi imekuwa deal sana karibuni kwenye meli. Ingawa Kuna Chief Engineer, Second Engineer,Third Engineer na watu wa rating kama Oiler.Mm nmesomea umeme wa magari je katika mfumo wa engine wa meli unahusiana kidogo niende
Mkuu,nimerudi Tena,Mwaka 2018 nilikuuliza maswali kadhaa,leo swali langu ni kwamba nimepigwa hiko chuo kinatoa basic mandatory course za Safety,na kwamba nikizisoma zinahitajika sio tu baharini Bali hata migodini nkukienda kusoma unaweza kuamua kuwa utakuwa kule engine room au deck.na kila sehemu ina changamoto zake.yapo mengi napenda kukwambia lkn naona nivigumu kutype kila kitu hapa.