Naombeni msaada jamani kwa mtu atakaye guswa na jambo hili

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Kwanza natanguliza shukrani kwa watu wote,mimi ni kijana ambaye nimesoe ICT na Multimedia ni mtu ambaye nipo very creative katika mambo yafuatayo
1:TV PROGRAM AND RADIO PROGRAM DESIGNING
2:Films production
sasa nimesha andika project nyingi sana zimejaa ila tatizo linalo ni kwamisha sina Camera tu,
ombi langu naomba kampuni,mtu wowote anisaidie camera tu ili niweze kufanya project zangu ambazo na amini zitasaidia hata vijana zaidi ya 5
[HASHTAG]#vodacomTANZANIA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TIgo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#airtel[/HASHTAG]
na wote watakao guswa pia hata ukinikopesa itakuwa sawa Kamera tu
 
Jieleze vizuri kamera hata simu zina kamera ili anayetaka kutoa msaada ajue kamera design gani na gharama
 
Back
Top Bottom