Naombeni Msaada buttons za komputa hazifanyi kazi

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
11,415
17,853
Nina laptop aina ya HP sasa Jana nilipokuwa nataka kuizima bahati mbaya nikabofya button ya restart, Naona baada kumaliza Ku restart button za chini zote hazifanyi kazi.....
 
Nikizibonyeza hizo button inaniambia" class not registered ".
 
Back
Top Bottom