Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Wewe hizi unaweza kuzinunua
 
Kama unaongelea uhalisia you are wrong,kwa mfano-Gari kama Carina Ti,ingawa ni very old lakini ni gari rahisi sana kuuzika sokoni na resale value yake ni stable sana. Extrovert can share some experiences on this perspective regarding Carina Ti
 
Unajua kila mtu anakuwa na mapenzi na kitu flan haijalishi kimepitwa na wakati kwa kiasi gani ila yeye akiwa nacho au akikiona anakuwa na amani na furaha....
Tukisema twende na wakati kwa kumiliki vitu vya kisasa nadhani watu wengi sana tutafeli,. Mfano mdogo ni kwamba kuna watu wachache sana hapa bongo wanamiliki gari ambazo zina miaka 4 tangu zitoke kiwandani.......
Ukiangalia gari kama Alphard nyingi ni namba "D" lakini zilikuwepo sokoni kipindi ambapo hapa bongo tulikuwa kwenye namba "B" au "C" kama skosei lakini watu wengi hawakuwa na uwezo nazo!
 
Hebu onyesha ya kwako uliyonunua..na kumbe unanunua gari kwa ajili ya attention?
 
Wazi kabisa yani kuna Range Rovers za 2014 ziko barabarani ni namba C unakuta ila chuma imesimama ila by the time jamaa alinunua ikiwa 0 kms! Atakaenunua model hio mwaka 2021 ataipata kwa DXZ ila ni gari ambayo tayari ilikuwapo road toka imeanza production year!
 
Inapendelewa kwa sababu ya mind kama hizi zilizoashisha uzi huu
🤣 🤣 🤣 In fact Watu huwa hawapangiwi preferences,bali hujipangia wenyewe kwendana na mahitaji yao and other unique factors.The reality ni kwamba 70 plus percent ya magari yanayotembea Tanzania ni ya miaka ya nyuma,and the rest percentage wengi ni well off. This is not about mindset sometimes;i'ts all about capacity.
 
Hupangiwi ila kuna kushauriwa, kuelimishwa kisha kuamua... Maamuzi bora ni yale yaliyopitia hizi stage!
 
IST 1500Cc natembea 20/Lita kwa highway, mpaka mwenyewe sijaamini aisee.
Na ni ya muda ni Number C.
 
Mkuu wewe level nyingine, royal class au sio, eti mkuu si bora hata mie mwenye kirikuu mitsubishi mini cab cc 650 hahahh
 
Behaviourist kuna mtu anatutafuta ugomvi huku 😂
 
kwa ufupi:
Carina TI, SI na GT.
Japan walizitengeneza kwa mfumo wa kipekee sana, asilimia kubwa ya wanaozinunua hizi gari na kumiliki sio kufuata mkumbo bali kuna wanachokijua na kupenda kuhusiana na hizo gari.

Binafsi nanunua na kubadili usafiri lakini Carina moja ipo napeta nayo vizuri tu. Kilichonivutia ni ujuzi uliotumika kuunda engine yake ndio maana kampuni ya Tata India walipanda dau na kuinunua.

Engine yake inauwezo kutumia multipurpose oil pia unaweza tumia hata zile "oil mwitu" itasmoke kidogo ila ukirudisha oil nzuri na yenyewe inakaa sawa. Ukizidisha mda wa service itakuvumilia sana mpaka uone aibu.

Huu mchezo kaujaribu kwenye Japanese engines za top coil ignitions, utafurahia matokeo.
 
We unamiliki lipi hapo ?? Acha ushamba dogo we ni jinsia gani Kwanza
 
Injini ya carina ya cc 1490 na injini ya ist ya cc 1490 zinatofauziana ulaji wa mafuta.. sababu hasa ni mfumo wa VVT-I

Tofauti yake siyo Vvti tu...

IST inatumia DIS ignition wakati carina kuna zenye distributor na zingine zingine zina wasted spark.

Baadhi ya ya Ist zina EGR.

Vipo vitu vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…