Si wako tena..kama kweli anamimba kakubali kukusaliti..tafuta kwingine. Accept defeat.Duh! Wandungu kichwa kinauma, nimekuja hapa naomba msaada wenu kwa ushauri!. Mim nikijana wa kiume nilikua katika mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambae tulipendana sanaa zaidi nikampenda kutokana na hari ya maisha kwao s nzuri na elimu yake ya chini sana. Wakati nipo shule huku nyuma akapata kazi ya kuuza duka la mtu katika mkusanyiko wa watu!. Ni mpole na n mshirika mzuri sana wa kanisani. Nimerud likizo kabla sijaonana nae naanza kusikia toka kwa rafiki zangu na zake taharifa kua ni mjamzito ila na hawa wanaonipa taharifa ni wamesikia, hiko kitu hajaniambia japo ninawasiliana nae. Nikawaza wanaonipa taharifa nao wamesikia nam tena ninasikia nikaona nichukue mda nikae nae na tufanye vipimo vya afya na iyo kitu!. Lakin kinachonishangaza kila ninapohitaji kukutana nae hua anaishia kulia tu katika simu na anasema hawezi kukutana namim nyumban kazi nyingi maana sasa hayupo tena kazini n yupo tu nyumbani. Naomba mnisaidie hapa niamue nin? Ila katika simu tunaongea sana tu na mda wowote ule! Ila kukutana nam imekua tatizo.
Ucjali kutengwa na marafiki zake huwez jua m/mungu anakuepusha na nn.ww Fanya mchakato wa kuonana naye pia upate uhakika ni kitu cha kuzungumza tu,piga moyo konde usiumize sana kichwa mkuu haya ni matokeo tu ktk maishaNashukuru sana kiongozi ila dah mmh hata hao rafiki zake sasa amewatenga.
km ulikua unaambiwa na watu kuwa ana mimba na kwa sasa amebadilka anakukwepa msionane conclusion itakua ni kweli anyo wala hama haja ya kupoteza muda ukampime....amua tu km unapiga chini au unaendelea nae ama vipiDuh! Wandungu kichwa kinauma, nimekuja hapa naomba msaada wenu kwa ushauri!. Mim nikijana n? Ila katika simu tunaongea sana tu na mda wowote ule! Ila kukutana nam imekua tatizo.
wewe ni mwanaume wa mkoa gani?Duh! Wandungu kichwa kinauma, nimekuja hapa naomba msaada wenu kwa ushauri!. Mim nikijana wa kiume nilikua katika mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambae tulipendana sanaa zaidi nikampenda kutokana na hari ya maisha kwao s nzuri na elimu yake ya chini sana. Wakati nipo shule huku nyuma akapata kazi ya kuuza duka la mtu katika mkusanyiko wa watu!. Ni mpole na n mshirika mzuri sana wa kanisani. Nimerud likizo kabla sijaonana nae naanza kusikia toka kwa rafiki zangu na zake taharifa kua ni mjamzito ila na hawa wanaonipa taharifa ni wamesikia, hiko kitu hajaniambia japo ninawasiliana nae. Nikawaza wanaonipa taharifa nao wamesikia nam tena ninasikia nikaona nichukue mda nikae nae na tufanye vipimo vya afya na iyo kitu!. Lakin kinachonishangaza kila ninapohitaji kukutana nae hua anaishia kulia tu katika simu na anasema hawezi kukutana namim nyumban kazi nyingi maana sasa hayupo tena kazini n yupo tu nyumbani. Naomba mnisaidie hapa niamue nin? Ila katika simu tunaongea sana tu na mda wowote ule! Ila kukutana nam imekua tatizo.