Clabo1
Member
- Sep 25, 2016
- 98
- 65
Duh! Wandungu kichwa kinauma, nimekuja hapa naomba msaada wenu kwa ushauri!. Mim nikijana wa kiume nilikua katika mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambae tulipendana sanaa zaidi nikampenda kutokana na hari ya maisha kwao s nzuri na elimu yake ya chini sana. Wakati nipo shule huku nyuma akapata kazi ya kuuza duka la mtu katika mkusanyiko wa watu!. Ni mpole na n mshirika mzuri sana wa kanisani. Nimerud likizo kabla sijaonana nae naanza kusikia toka kwa rafiki zangu na zake taharifa kua ni mjamzito ila na hawa wanaonipa taharifa ni wamesikia, hiko kitu hajaniambia japo ninawasiliana nae. Nikawaza wanaonipa taharifa nao wamesikia nam tena ninasikia nikaona nichukue mda nikae nae na tufanye vipimo vya afya na iyo kitu!. Lakin kinachonishangaza kila ninapohitaji kukutana nae hua anaishia kulia tu katika simu na anasema hawezi kukutana namim nyumban kazi nyingi maana sasa hayupo tena kazini n yupo tu nyumbani. Naomba mnisaidie hapa niamue nin? Ila katika simu tunaongea sana tu na mda wowote ule! Ila kukutana nam imekua tatizo.