MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,307 Reaction score 10,977 Jun 19, 2015 #1 Nina simu yangu VIWA MAX 5 napenda sana ni-uninstall built-in apps kwenye simu yangu maana sipeendelei ziendelee kuwemo kwani sizitumii na zinahitaji updates mara kwa mara. mfano Twitter, maps, etc. Nisaidieni wajuz.
Nina simu yangu VIWA MAX 5 napenda sana ni-uninstall built-in apps kwenye simu yangu maana sipeendelei ziendelee kuwemo kwani sizitumii na zinahitaji updates mara kwa mara. mfano Twitter, maps, etc. Nisaidieni wajuz.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Jun 19, 2015 #2 MWANDENDEULE Inawezekana kuondoa baada ya kuifanyia rooting. Hivyo kazi ya kwanza ni kujifunza jinsi gani ya ku_root s8mu yako, ndipo utaweza kuondo apps ambazo zimukuja na s8mu na haziwezi kutoka. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MWANDENDEULE Inawezekana kuondoa baada ya kuifanyia rooting. Hivyo kazi ya kwanza ni kujifunza jinsi gani ya ku_root s8mu yako, ndipo utaweza kuondo apps ambazo zimukuja na s8mu na haziwezi kutoka.
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,307 Reaction score 10,977 Jun 19, 2015 Thread starter #3 Mwl.RCT said: MWANDENDEULE Inawezekana kuondoa baada ya kuifanyia rooting. Hivyo kazi ya kwanza ni kujifunza jinsi gani ya ku_root s8mu yako, ndipo utaweza kuondo apps ambazo zimukuja na s8mu na haziwezi kutoka. Click to expand... Naomba process za ku-root hii Viwa max 5 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwl.RCT said: MWANDENDEULE Inawezekana kuondoa baada ya kuifanyia rooting. Hivyo kazi ya kwanza ni kujifunza jinsi gani ya ku_root s8mu yako, ndipo utaweza kuondo apps ambazo zimukuja na s8mu na haziwezi kutoka. Click to expand... Naomba process za ku-root hii Viwa max 5