A Anthony peter Member Feb 16, 2011 18 0 Oct 19, 2011 #1 Nahitaji kujiunga na chuo cha ubaharia lakini cjui wapi pakua nzia mwenye ulewa na hili anwani za chuo na mahali kilipo. Unaweza kunisms namba zangu ni 0789797889 au 0755433110
Nahitaji kujiunga na chuo cha ubaharia lakini cjui wapi pakua nzia mwenye ulewa na hili anwani za chuo na mahali kilipo. Unaweza kunisms namba zangu ni 0789797889 au 0755433110
Vitendo JF-Expert Member Oct 23, 2009 582 103 Oct 19, 2011 #2 kuna chuo cha bandari ila sina uhakika kipo mitaa gani..jaribu kufuatiria.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 19, 2011 #3 Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm.
Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm.
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Oct 19, 2011 #4 Mzee said: Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm. Click to expand... c hata Pcm au?
Mzee said: Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm. Click to expand... c hata Pcm au?
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Oct 14, 2011 1,303 262 Oct 19, 2011 #5 cna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar.
cna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar.
T tshaka Member Apr 16, 2010 55 6 Oct 20, 2011 #6 Nenda temeke-tandika mwisho.kipo hapo,kozi operetion issue,clearing/fwd,na zote zinazohusu mambo ya marine.
Nenda temeke-tandika mwisho.kipo hapo,kozi operetion issue,clearing/fwd,na zote zinazohusu mambo ya marine.
Maganga Mkweli JF-Expert Member Jul 14, 2009 2,089 829 Oct 20, 2011 #7 Nyaluhusa87 said: cna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar. Click to expand... kwa kuongeza nipata hizi adress Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM.
Nyaluhusa87 said: cna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar. Click to expand... kwa kuongeza nipata hizi adress Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM.
Narubongo JF-Expert Member Nov 3, 2010 2,768 2,750 Oct 20, 2011 #8 Maganga Mkweli said: kwa kuongeza nipata hizi adress Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM. Click to expand... ni kweli kabisa, kama umri wako unaruhusu nenda
Maganga Mkweli said: kwa kuongeza nipata hizi adress Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM. Click to expand... ni kweli kabisa, kama umri wako unaruhusu nenda
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Oct 20, 2011 #9 Narubongo said: ni kweli kabisa, kama umri wako unaruhusu nenda Click to expand... umri unaruhusu kivp?
Narubongo said: ni kweli kabisa, kama umri wako unaruhusu nenda Click to expand... umri unaruhusu kivp?