Naombeni mnihack zawadi vocha 2000

Naombeni mnihack zawadi vocha 2000

nenda forum za watoto wa mama wewe abulzahra huwez ki2 usipende kuhoji ki2 bila kufikiria halafu eti uniblock wewe abulzahra hebu mblock kwanza dem wako asikukimbie
Altleast itaje email yako, upuguze mzigo
 
busy signal, mkuu account yako inakuwa managed na JF ambayo iko hosted na server za ughaibuni, (I guess ni GODADDY.COM wanafanya hosting ya JF, though am not sure) . So, technically unataka tuhack servers za GODADDY, kwa voucher ya 2000. That deal is not fair at all.
Very well said!
 
e2themiza kwa mbaaaaaaaaaali nahic utaweza ,but may be unaweza fanya makeke tena wewe nmesoma post zako nying sana ni zakuhack thru try and error kuna hawa jamaa nao kwa mbali zaid nahic wanaweza nmesoma thread zao kuna paje , chief mkwawa, shiny c na celsus we unahic nani angalau kwa mbali anaweza
 
Kwanza unatoa vocha 2000 za sh ngapi in total?

Pili siwezi kuhack server za jf kwa heshima ya janvi hili..............just give me your email uliotumia kufungulia jf nimalize mchezo

Lakini hii ni baada ya kuniconvice na hizo vocha 2000 zitakuwa na jumla sh ngapi
 
Back
Top Bottom