Naombeni mfano kama hili jambo lipo

Naombeni mfano kama hili jambo lipo

wakusepa

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
83
Reaction score
5
Habarini wana jamvi
Naombeni wana jf mnipatie mfano wa mtu ambaye aliwahi kuwa chuo kisha kuwa sponsored na heslb kwa bahat mbaya aka disco na baadae akaamua kuomba chuo tena na kupata pamoja na mkopo pasipo kudaiwa ule wa kwanza.Kama ww uliwahi kuwa mhanga au una ndugu yalimsibu haya tafadhali tujuzane hapa
 
Back
Top Bottom