Naombeni mdundiko urudishwe Bishanga kazidi ushakunaku

Ngoja aseme mnaanza kumnyanyapaa baada ya kukimbia majibu Angaza...
 
Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo

bora thread ya yule f.a.l.a zilifutwa make wana chit chat wote tungepewa ban. hata me jana kwa mara ya kwanza nlitoa maneno makali. . .
 
Aseeeee
Hamjambo humu?
Nani **** anayeudhi watu mumlete tumshughulikie
 
Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo
hahaaaaaa wapi zinduna jamani watu tushajifunga kanga tayari kusuta mtu
 
nimekuitana na Bishanga msoga! kaenda kupewa ulinzi wa kimazingara kama wa jk alopewa na shaikh yahya (rip)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom