Naombeni mawezo yenu.

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Heshima mbele wana bodi..tarehe 10 kutakua na madaharo wa katiba mpya,na utakua live itv na star tv kama mambo hayata badilika,nitakua mmoja kati ya wachangiaji,hivyo kwa kutambua uwepo wa jf kama kuna mwnye mchango/mawezo naomba tuya list hapa kwa niaba ya jf nitayawasilisha.karibu sana.nawasilisha..
 
mkuu hebu kwanza tuwaulize hivi katiba mpya itabadili nin kwa watanzani? itaongeza vipi ama kushawish juu ya dhana kuu ya uwajibikaji? manake yawezekana kabisa tukatoka mahela mengi kwa ajili ya hili na mwisho wa siku tusione mabadiliko.

pili tunabadili ili iweje?

na je nini ni faida za kuibadili kwan tumeyaskia mengi sana lkn haya hayajawekwa wazi kwetu
na kwangu mimi ni hayo
 
sijaelewa huo mchakato wa katiba unaendaje manake naona kila dalili ya kuweka viraka kwenye katiba ya zamani mfano vitu fulani kupigwa marufuku kujadiliwa manake nini sasa,badala ya kututengeneza brandnew.Cha msingi sana piganieni haki ya watanzania hasa walalahoi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom