Naombeni mawazo jamani

Naombeni mawazo jamani

Nyumba za kupanga lawama, ukimwambia mmeo ndugu yake asije hapo unaanza kuonekana kuwa unamchukia.
 
umenikumbusha kuna mzee mmoja akiombwa lift huwa anauliza kutoka hapa mpaka huko unapoenda tsh ngapi then anachomoa hela. yaani huyo akilipiwa guest siku moja tu harudii tena kudandia godoro la housegirl.

Halafu mie sielewi mwanaume anaacha nyumba yake anaenda kuosha macho kwa mdogo wake then analala sebuleni.... mkewe nyumbani sijui analala na nani
 
Siku nyingine akija mlipieni guest siju 3 zijiisha asepe au aendelee kulipia mwenyewe

Inashangaza mtu mzima unaacha nyumba yako kwenda kulala sebukeni kwa mwenzio..hata kama ni ndugu yako....tena kama huna dili lolote linalokupeleka huko

Mkishindwa vunjeni ukimya

Bikira Bado ipo?
 
Halafu mie sielewi mwanaume anaacha nyumba yake anaenda kuosha macho kwa mdogo wake then analala sebuleni.... mkewe nyumbani sijui analala na nani

hapo chacha! Kuna kabila flani ndo zao kujazana kwa mtu. Wapo radhi wabanane seblen.
 
Mwambie mumeo tu mtafute nyumba kubwa ili ndugu wakija wajinafasi.
 
hapo chacha! Kuna kabila flani ndo zao kujazana kwa mtu. Wapo radhi wabanane seblen.

Loh
Umenikumbusha nilipokuwa mdogo!!!
Wageni toka kijijini kuja kutembea....
Uzuri wazee walikuwa wanawalaza sebuleni tu, watajipanga mpaka mlangoni.

Tulipokuwa tukatimua wote...
Na ndik ukawa mwisho wa wageni
 
Mwambie mumeo apige marufuku wageni wote wa kulala, waje kutembea tu.

Angekuwa kwangu ningemwambia ukija mjini hulali kwangu, tafuta pa kulala

Unamaana akubali wageni wa show time kulala hataki😎😎😍
 
Back
Top Bottom