Naombeni mawazo jamani

Naombeni mawazo jamani

Huyo ndugu hana adabu na heshima. Anaiona halu halisi na anajileta tuu??? Mweleze mume kwa busara mkiwa mmetulia maana ukiendelea kuumia siku utalipuka itaharibu ndoa yenu. Pole sana.
 
Bibie Karucee kwa kweli sitokusahau, nimeiona PM yako ulionitumia jana kwa kweli

Nimejifunza kitu muhimu sana kutoka kwako, wachache sana wenye uwezo kama wako.

Hivi wewe umesomea nchi gani hapa ulimwenguni?! Maana una elimu kweli.

Naomba uwe unaendelea kunipa mazoezi ya Elimu kwa PM, ila tatizo siku hizi umekuwa mvivu yaani mara tatu kwa wiki, zamani ulikuwa unanifundisha kila siku.

Najua nimetoka nje ya mada ili nimekuona upo hewani ndio nikaamua kukufahamisha nimeiona PM yako.

Wee mkali

ingependeza zaid kama ungemwandikia huko huko PM "
 
Last edited by a moderator:
Majigo yule ni kaka yake sasa nikimwambia wasijeona labda sipendi ndugu si unajua moyo wa mtu ndugu?
So what?
Achana na kufa kiofisa,leo anakuja mwenyewe unaumia moyoni kesho atakuja na mkewe na watoto!
Ongea na mumeo best,muulize yeye anaonaje hiyo tabia ya kaka yake? Akijifanya haoni tatizo muorodheshee yote unayoyaona.
Next time akija hapo iwe msosi na story tu,kulala aende guest tena kwa gharama zake!!!
 
Tuko kwa mchakato wa kutafuta iyo nyumba kubwa pia so ngoja tu nijikaze na roho yangu

Mwambie mme wako, uyo kakake anakuja kufanya nini apo na nyumba ni ndogo.Hamna haja ya kuogopa kumwambia mmeo, mnafanya mangapi uogope kumwambia ilo.
 
So what?
Achana na kufa kiofisa,leo anakuja mwenyewe unaumia moyoni kesho atakuja na mkewe na watoto!
Ongea na mumeo best,muulize yeye anaonaje hiyo tabia ya kaka yake? Akijifanya haoni tatizo muorodheshee yote unayoyaona.
Next time akija hapo iwe msosi na story tu,kulala aende guest tena kwa gharama zake!!!

Ivi na uyo kaka mtu apo kwa mdgo wake kila Siku anaenda kufanya nini.Ndugu Mashemaji wengine kero.
 
Face huby wako

Muulize kwa upole bila kuonyesha hasira usikilize nn anafikiri juu ya ndugu yake kulala hapo
 
Sasa huyo shemejio nae zero kabisaa,anajua kabisa mna chumba kimoja halafu anakuja kulala hapo ili iweje,ndo maana watu wengine mgeni kuja lazima atiw taarifa na aekeze anakuja kufanya nini na stakaa muda gani,maisha ya kizamani hayo hebu awaache nyie,mtamuombea dada wa kazi kwa majirani hadi lini? Majirani watachoka
 
Nilisahau, ndo maana nilipoona mchango wake nikakumbuka.

Nimekuelewa mkuu sawa

si unajua tena!" nicje nikaona wivu mana namzimikia huyo bi dada kitambo.
 
Ivi na uyo kaka mtu apo kwa mdgo wake kila Siku anaenda kufanya nini.Ndugu Mashemaji wengine kero.

Mie sielewi kwa kweli maana kama ni kazi au biashara akakae hotel hapo aje kusalimia tu.
Faida apate yeye karaha awapatishe wenzio!!
 
Mpenzi una akili kama yangu nami nimemuuliza hapo juu hajajibu.
Anaachia kujiachia kujazana jazana na kujibana

Jamani kama hana mtoto basi atakuwa ni bonge la mvivuuuu
 
Siku nyingine akija mlipieni guest siju 3 zijiisha asepe au aendelee kulipia mwenyewe

Inashangaza mtu mzima unaacha nyumba yako kwenda kulala sebukeni kwa mwenzio..hata kama ni ndugu yako....tena kama huna dili lolote linalokupeleka huko

Mkishindwa vunjeni ukimya
 
umenikumbusha kuna mzee mmoja akiombwa lift huwa anauliza kutoka hapa mpaka huko unapoenda tsh ngapi then anachomoa hela. yaani huyo akilipiwa guest siku moja tu harudii tena kudandia godoro la housegirl.
 
Kiukweli ukijua mimi nina vyumba viwili kwangu usije nitakupeleka guest
 
Back
Top Bottom