Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Huwa napenda kumsapriz my waif na vijizawadi sometimes. Leo nimeona nimpigie sim nimuimbie wimbo mzuri wa kuliwaza kimapenzi wa zamani. Nimejaribu kuwaza hapa lakini kila ninaowaza haujakaa kivile
rangi ya chungwa... no
msichana wa sura nzuri... no
singuo, utaomba mtu...no
mapenzi yananivunja mgongo... no
nakumbuka mazoea... no
Embe dodo... no
Tausi ndege wangu... no
Naomba wale wa enzi zetu wanipendekezee wimbo....
rangi ya chungwa... no
msichana wa sura nzuri... no
singuo, utaomba mtu...no
mapenzi yananivunja mgongo... no
nakumbuka mazoea... no
Embe dodo... no
Tausi ndege wangu... no
Naomba wale wa enzi zetu wanipendekezee wimbo....