Naombeni mashairi, nimpigie simu

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Huwa napenda kumsapriz my waif na vijizawadi sometimes. Leo nimeona nimpigie sim nimuimbie wimbo mzuri wa kuliwaza kimapenzi wa zamani. Nimejaribu kuwaza hapa lakini kila ninaowaza haujakaa kivile

rangi ya chungwa... no
msichana wa sura nzuri... no
singuo, utaomba mtu...no
mapenzi yananivunja mgongo... no
nakumbuka mazoea... no
Embe dodo... no
Tausi ndege wangu... no

Naomba wale wa enzi zetu wanipendekezee wimbo....
 
Huwa napenda kumsapriz my waif na vijizawadi sometimes. Leo nimeona nimpigie sim nimuimbie wimbo mzuri wa kuliwaza kimapenzi wa zamani. Nimejaribu kuwaza hapa lakini kila ninaowaza haujakaa kivile

rangi ya chungwa... no
msichana wa sura nzuri... no
singuo, utaomba mtu...no
mapenzi yananivunja mgongo... no
nakumbuka mazoea... no
Embe dodo... no
Tausi ndege wangu... no

Naomba wale wa enzi zetu wanipendekezee wimbo....

chaupele mpz.
 
Hajawahi niambia niache rumba.... no

eeh we nawe basi mwimbie bofalo soja wa bob male yaishe...haaaaaaa kila mwimbo no...tupia exodus yaishe...akikuuliza niaje mwambie ur in transt...
 
JARIBU HIZI: -Chiku mimi nakupenda sana...... -Nakupenda sana kweli, si kwa uzuri tu ulionao, hata tabia zako kwa kweli................ -Nakupenda kama pumzi ya maisha yako, Titi ee umeuteka moyo wangu nyara........ -Mtoto mwenye imani Conjesta, nimeamua kukupenda wewe pekee Conjesta.......... -MV mapenzi, meli ya wapendanao, moyo kama bahari manahodha mimi na wewe......... -Au huu hapa (lakini unaweza kuweka jina lake kama halifanani na hili ........We Naomi we Naomii, penzi letu Naomi limekuwa kama chunusi ilowiva, yahitaji kutobolewa na vidole viwili vyenye upendo..... Kwa sasa jaribu hizo kabla sijaendelea!!
 
eeh we nawe basi mwimbie bofalo soja wa bob male yaishe...haaaaaaa kila mwimbo no...tupia exodus yaishe...akikuuliza niaje mwambie ur in transt...

Hebu niPM namba yako wewe nikutupie bafalo soja, ukifurahi then namtupia na yeye...
 
JARIBU HIZI: -Chiku mimi nakupenda sana...... -Nakupenda sana kweli, si kwa uzuri tu ulionao, hata tabia zako kwa kweli................ -Nakupenda kama pumzi ya maisha yako, Titi ee umeuteka moyo wangu nyara........ -Mtoto mwenye imani Conjesta, nimeamua kukupenda wewe pekee Conjesta.......... -MV mapenzi, meli ya wapendanao, moyo kama bahari manahodha mimi na wewe......... -Au huu hapa (lakini unaweza kuweka jina lake kama halifanani na hili)........We Naomi we Naomii, penzi letu Naomi limekuwa kama chunusi ilowiva, yahitaji kutobolewa na vidole viwili vyenye upendo..... Kwa sasa jaribu hizo kabla sijaendelea!!

Huo nimekubali. Ngoja niufanyie riheso...
 
1.wewe ndie umjuae kuliko sisi
2.kati ya ulizoorodhesha unajua ipi itamfaa.
 
mhhh... hapa kizazi kipya tumetengwa, haya wa enzi hizo toeni nyimbo babu yetu amlidhishe bibi, lakini wazee nao siku wanapenda bongo flava na blues.
 
mhhh... hapa kizazi kipya tumetengwa, haya wa enzi hizo toeni nyimbo babu yetu amlidhishe bibi, lakini wazee nao siku hizi wanapenda bongo flava na blues.
 
Endelea kuorodhesha mkuu... maana nafanya riheso unakuwa tena mgumu...

Sawa mkuu naendelea: -Hata waseme seme Safi, mimi na wewe tuyazibe masikio........... -Hakuna duniani, mizani iwezayo kupima kiwango cha mapenzi yangu nawe Ashibai.............. -Chiku mimi nakupenda sana, Chiku mwana mama............ -Siyo kama ninakusifia eti kwa sababu ya sura nzuri Stella........mwadela!! -Malaika, nakupenda malaika..........
 
Muimbie TAMAA MBAYA wa 20 Paa, Mchizi wa Combinango, ukishindwa mpe ule wa DUDU BAYA-NAKUPENDA TU!
 
Kuna huu hapa naupenda sana,sijui wewe na au yeye

...kuimba nimeimba lakini sina raha

kucheza nimecheza lakini sina raha

kunywa nimekunywa lakini sina raha

Ninamkumbuka mpenzi wangu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom