Hodi hodi jamvini binti white naingia,Jamii forum nisikia,kila mtu kuisifia,wazee na vijana pia,Maarifa kujitakia,ndo maana nimeingia,Sitaki kubaki kama mkia,upumbafu nimeuchokea,Nimeingia jamvini kujiachia,Hata kichwa nikifikia,najua sitoumia.
TEHE TEHE NIMELAZIMISHA VINA HADI NAJICHEKA.Naombeni ushirikiano wenu.
karibu binti white.
Pia usisahau kujiunga na bunge letu la wana jf.Kuna mh spika pale nimemkubali.
Jamani samahani nimepost thread vibaya kwa kuwa nimetumia Pc ya Billie ndiye aliyenipa idea ya kujoin humu but PC yake aliweka remember pasword ndiyo maana imetokea contradiction samahani sana ID yangu ndo hii jaman(NI UGEN NDO UNANISUMBUA)