Naombeni kuuliza

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Habari za jioni wana JF wenzangu. Swali hili naomba kuuliza kabla ya kumfata jirani yangu nijaribu kuongea nae kulingana na ushauri mutakaonipa.
Jirani yangu ana housegirl ambae ana mtoto mdogo hajaanza hata kuongea. Sasa basi akianza kumbutua huyo mtoto huwa hadi roho yangu inauma. Mtoto atalia mpaka he cannot breathe. Hivi ni kosa gani linaloweza kumfanya mzazi afikie kumchapa mtoto wake kiasi kile kwa umri ule?
Mie kwa kweli uvumilivu unaelekea kunishinda. Nataka nimfate jirani. Najua atanishangaa sababu kwanza sina mazoea hapa mtaani zaidi ya salamu. Pili nitakuwa naingilia maisha yake. Ila jee? Akija kumuumiza huyo mtoto mie nitaishije nikijua I might have prevented it? Nifanyeje waungwana?
 
Kupiga watoto ni utamaduni wa Mwafrika. Ndiyo njia madhubuti ya kumpatia na kumjengea nidhamu mtoto.
 
Kwa nini usitafute namba ya jirani ukampigia? Mtu ambae hana mazoea na mimi akija kwangu najiskia kama privacy yangu imeingiliwa.
Sijui nimekuelewa? Hgal anapiga mwanae, na sio mtoto wa mwenye nyumba, sio? Manake.bado una haki ya kuliongelea.
 
Kwa nini usitafute namba ya jirani ukampigia? Mtu ambae hana mazoea na mimi akija kwangu najiskia kama privacy yangu imeingiliwa.
Sijui nimekuelewa? Hgal anapiga mwanae, na sio mtoto wa mwenye nyumba, sio? Manake.bado una haki ya kuliongelea.

yeah mtoto wake mwenyewe hg. Namba sina means za kuipata. Dont you think its easier going over? Yaani mida hii kampiga mpaka nimemsikia anashindwa kupumua. A child who can barely breathe goddamnit
 


Panganika vizuri,
Nunua na zawadi ya mtoto.
Alafu ukifika piga hodi hodi
Nimekuja kukutembeleni jirani yangu.
Cheza na mtoto, kwanza.
Piga nae story mbili tatu na mama mtoto
Msifie kuwa mtoto wake ni nzuri,
alafu sema lakini mimi naumiaga ninaposikia huyu mtoto analia,napatwa na uchungu, kwanini unampiga sana namna hii jamani?
Mtoto mali bwana, na kupiga si kufundisha ndugu yangu, bali ni kunyanyasa na anaweza kukuchukia ukubwani.

Huyo mama kalelewa kwa kubutuliwa, kwaiyo yeye wala haoni kosa.
watu waliolelewa kikatili hata wao ulea watoto wako kikatili pia
 
Get yourself into those people's premises just in a cordial way..then, slowly you can raise your concern.
I still think you can solve the issue amicably even without using police/legal intervention
Mtoto wa mwenzio ni wako...try to play your part at this time around........creating a good rapport will ease your move..
 

somoe umenipa wazo zuri sana. Nikuambie kitu ugumu unakuja sijawahi kumuona huyo mtoto wala mamake. Mie kutwa nipo ndani home. Na kuna ukuta mrefu unaotutenganisha. Ila kwa vile kwangu kupo quiet I can tell you alot about my neighbours na majina ya watoto wao. Ila huyo jirani yangu anakujaga mara moja moja. Labda kuniletea mandazi or just a chat.
I like your idea. Thanks bana.
 

oooh yeah. I could do that. Thanks Snowball.
 


siku hizi una viinglishi
 
Mripoti vyombo vya dola
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…