Polisi au JKT?Kwa mfano kesho trh 12 june2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?
NB: baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.
Kwamba walikua wajinga wasimchague au... Uvuvi tu wa kutafuta kazi za kufanya na kupunguza shoboKwa mfano kesho trh 12 june2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?
NB: baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.
Mpeleke tu ili akarudishwe kwa miendo mibayaAcha uvivu jobless billionaire, soma maandishi tusaidiane.
Dogo Sajenti TzCheo chako tafadhali, maan nataka uhakika katika hili.
Kama hajachaguliwa usimpeleke Police na jeshi ni vitengo nyeti sana hicho mnachotaka kukifanya kinaweza kumgharimu mwanao utamponza viungo vyake na hatosahau.Unamaanisha kuingia pale haiwezekani au laana katika angle ipi mkuu?
Mkuu.. Ingekuwa ni rahisi ivo basi kila aliependa kutumikia kitengo icho kwa uzalendo kabisa angekuwa anajipeleka..ndio maana kuna kuchaguliwa... ππππ Mpeleke tu akale tifuπ€π€π€Kwa mfano kesho trh 12 june2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?
NB: baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.
Ukiweza mbadilishie kozi.. Si kwa ubaya lakini lakini hiyo kazi asipokuwa makini atakaribisha laana kwenye kizazi chakeKwa mfano kesho trh 12 june2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao wanaotakiwa kureport je atafukuzwa kambini? Au watampuuza na kumpokea kama mzalendo?
NB: baada ya vijana kureport makambini kuna baadhi huwa hawafiki na hivyo kupungua idadj ya wanaohtajika.