Naombeni kujuzwa kuhusu App ya Kuingiza vocha ya simu kwa kuscan

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habarin za asubuh wadau wa jukwaa la teknolojia,

naskia kuna app ya kuingiza vocha kwenye cm kwa ku scan tu zile namba za vocha ....jeh! Iyo app inaitwaje kwa anayeifaham?

Chier mkwawa mambo yako ayo ivyo naomba unitajie kaka mkubwa
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Screenshot_20210905-073005.jpg
 
Habarin za asubuh wadau wa jukwaa la teknolojia, naskia kuna app ya kuingiza vocha kwenye cm kwa ku scan tu zile namba za vocha ....jeh! Iyo app inaitwaje kwa anayeifaham? Chier mkwawa mambo yako ayo ivyo naomba unitajie kaka mkubwa
Ipo nimetengeneza inaitwa Vocha Master. Unaweza ukascan vocha nyingi kwa wakati mmoja. Inapatikana play store
Screenshot_20210905-085009.jpg


Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Kama iyomaster vochainatumikaje?
Kwangua vocha
Fungua Vocha Master app
Elekeza vocha kwenye kichumba kinachoonekana
App itazitambua namba yenyewe
Chagua laini kama unatumia zaidi ya moja
Bofya ok itaongeza salio.

Kama una vocha zaidi ya moja kwangua zote na scan kwa wakati mmoja

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom