Naombeni kujua

Naombeni kujua

muta ngegi

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
194
Reaction score
165
Habari Wakuu!Naombeni kujua eneo lililo katikati ya Gate la nchi moja na nchi nyingine yaani kwenye boarders linaitwaje kwa kiingereza? Like eneo ambalo "SI" askari wa Nchi A au wa Nchi B anayeruhusiwa kumkamata RAIA wa Nchi nyingine akifanya kosa la jinai.
 
Linaitwa mangula pathengeras na unajua kwa nini askari wa nchi yoyote haruhusiwe kumkamata mtu pale ?
 
Back
Top Bottom