Naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya sinoray na houjue dukani kwa sasa

CONSTANTKD

Member
Jan 24, 2018
24
7
Jaman, naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya SINORAY na HOUJUE dukani kwa sasa ni shilingi ngapi, na kwa mwenye connection ya maduka ya hizi pikipiki kwa Dar naomba anicheki inbox plz, koz nataka kununua kwaajili ya biashara ya mikataba ,, mm nipo Handeni (Tanga) . whatsapp ‪+213 798 80 17 07‬.
 
Na mie nasubiri majibu hapa. Mkuu huko Tanga ukimpa mtu kwa mkataba utaratibu ukoje?

Naomba pia kujua mwenye ufahamu kuhusu utaratibu wa mikataba kwa Dar ulivyo.
 
Unaweza kuuchukua ushauri au kuuacha

Mkuu iyo hela yako almost 2M kuinvest kweny hii biashara it's worst thing.
Na mie nasubiri majibu hapa. Mkuu huko Tanga ukimpa mtu kwa mkataba utaratibu ukoje?

Naomba pia kujua mwenye ufahamu kuhusu utaratibu wa mikataba kwa Dar ulivyo.
 
Sinoray ina range 2.1 mil - 1.9mil Kwa uzoefu wa mwaka 2020.
Jaman, naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya SINORAY na HOUJUE dukani kwa sasa ni shilingi ngapi, na kwa mwenye connection ya maduka ya hizi pikipiki kwa Dar naomba anicheki inbox plz, koz nataka kununua kwaajili ya biashara ya mikataba ,, mm nipo Handeni (Tanga) . whatsapp ‪+213 798 80 17 07‬.
 
Unaweza kuuchukua ushauri au kuuacha

Mkuu iyo hela yako almost 2M kuinvest kweny hii biashara it's worst thing.
Mkuu ahsante kwa mrejesho. Nilidhani inaweza kuwa backup plan kwa matumizi muhimu endapo njia kuu zitakuwa pengine hazijafanya vizuri. Hivi changamoto kubwa ya boda ni waendeshaji na kipi kinggine? Kama itakuwa ya mkataba kwa Dar marejesho ni kiasi gani kwa siku? Na upi ni uzoefu wako mkuu ktk hii mishe? Kitu gani kilikukwamisha zaidi specifically?
 
Mtoa mada yani utoe mil2 afu uingze shngap Kwa cku au hauna muda wa kufanya biashara?
 
Back
Top Bottom