Naombeni kujua kuhusu pumu

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,929
Naombeni kuuliza, pumu ni ugonjwa wa kurithi?, mwanamke mwenye pumu anweza kuzaa watoto wote wenye pumu? kama sio ugonjwa wa kurithi ikitokea mtoto wa kike akazaliwa na pumu kwenye familia yake na wenzake hawana je akija kuolewa uyu mwenye pumu ni madhara gani anaweza kwenda kuyasababisha kwenye familia ambayo ataenda kuianzisha?

Asanteni
 
Naombeni kuuliza, pumu ni ugonjwa wa kurithi?, mwanamke mwenye pumu anweza kuzaa watoto wote wenye pumu?, kama sio ugonjwa wa kurithi ikitokea mtoto wa kike akazaliwa na pumu kwenye familia yake na wenzake hawana je akija kuolewa uyu mwenye pumu ni madhara gani anaweza kwenda kuyasababisha kwenye familia ambayo ataenda kuianzisha?? Asanteni
Pumu ni ugonjwa wa kurithi ndio, for my family...mama yangu yuko nao...ila sisi watoto wote hakuna aliekua nao. Kwa hiyo yani kuipata pumu ni 50/50. Watoto wanaeza wasipate au wapate...au watoto wengine wapate na wengine wasipate.
 
Back
Top Bottom