Naombeni kujua bei ya external harddisk.

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Bila shaka muwazima wana-janvi? Naombeni mnijuze bei ya external harddisk mpya ya uwezo kama wa 200GB. Kwasasa inaweza kuuzwa bei gani?
 
inategemea ni aina gani, ukitaka hp 250gb wanauza 4500kshs, transjet 160 gb nimenunua 5300kshs pale Nairobi ila bongo sijui!
 
Back
Top Bottom