bob_fundi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2025
- 447
- 690
Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie tumshauri dogo ufaulu wake nika ifuatavyo
phy d mth f cv f kxw f bio c geo c chem d lit d hixtr c .pia amepangiwa chuo account and finance diploma lakini ataki hicho kitu .ushauri wako ni muhimu sana
phy d mth f cv f kxw f bio c geo c chem d lit d hixtr c .pia amepangiwa chuo account and finance diploma lakini ataki hicho kitu .ushauri wako ni muhimu sana