Jina langu mtumwa huru, Jinsia-Me)Naombeni ridhaa ya kuwa nanyi waheshimiwa, nimejifunza na kufurahia mengi kwenu kabla ya kuamua kupiga hodi humu......

Ukiweza badili ID hakuna mtumwa aliye huru mpaka atoke utumwani... Baada ya hapo hukoma kuwa mtumwa
Between maneno huumba! Nimeona tu nikushauri kwenye hili.. KARIBU SANA JF