ibrahim143
Member
- Jun 15, 2026
- 25
- 45
Wakuu mliopo Dar kijani wenu hapa nilikuwa naomb mwenye connection yoyote ya kazi ya kibarua anisaidie 🙏🙏
Mifugo gani mkuuKazi ya Shamba kuhudumia Mifugo na Usafi wa Mabanda
Mshahara : 100,000
Chakula na Malazi ni Juu ya Muajiri
ukiona uko interested njoo inbox siku na saa yoyote hata kama uko na wenzako 10 wote njooni kazi ipo na mtapata sehemu za kuishi na chakula na afya yenu itakua juu ya muajiri.
Vigezo :
Uwe na wadhamini wawili wenye makazi ya Kudumu wenye namba za Nida
wewe Pia uwe na Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa
Eneo la Kazi ni TANZANIA (Utaenda mkoa wowote ndani ya TZ utakaopangiwa so kuwa tayari na hilo)
Asante
Fisi,Ngamia,Punda,Ngiri Maji,nyoka wa mapambo,nkMifugo gani mkuu
Kazi ngumu za shamba utakaa kambini pale mtibwa bure kabisa ,kiwanda cha miwa mshahara kwa mwezi 240000 kwa siku 8000 ukisainiKazi ya Shamba kuhudumia Mifugo na Usafi wa Mabanda
Mshahara : 100,000
Chakula na Malazi ni Juu ya Muajiri
ukiona uko interested njoo inbox siku na saa yoyote hata kama uko na wenzako 10 wote njooni kazi ipo na mtapata sehemu za kuishi na chakula na afya yenu itakua juu ya muajiri.
Vigezo :
Uwe na wadhamini wawili wenye makazi ya Kudumu wenye namba za Nida
wewe Pia uwe na Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa
Eneo la Kazi ni TANZANIA (Utaenda mkoa wowote ndani ya TZ utakaopangiwa so kuwa tayari na hilo)
Asante
Nikajua ng'ombe nichangamkie fursaFisi,Ngamia,Punda,Ngiri Maji,nyoka wa mapambo,nk