brandonlee
Member
- Jan 19, 2020
- 13
- 15
Habarini za asubuhi wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni degree, naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
Bachelor of Arts in Geography and Environmental StudiesVETA muhimu kiongozi japo ujasema umesomea nini.Ungesema vizuri watu wema wapo humu wanaweza kukusaidia.
Wazo zuri mkuuTambo si unalo
Anza na udalali wakati unaendelea kusubiri mchongo.
Tafuta kitu chochote cha kuuza (piga picha hata ghetto lako), tembelea kila page ya staa, wewe kazi yako ni ku paste tangazo lako na namba kisha unahamia page nyingine.
Tanzania ina wajinga wengi wengi wengi sanaaaa,
kuna watakao soma tangazo lako na kudharau
Kuna watakaosoma na kukupigia lakini hawatakuja,
kuna watakaosoma na kuw interested watakupigia na watakuja lakini hawatonunua.
Lakini kuna ambao watanunua
Life is game of numbers.
Ukiifanya huu mchezo kama kazi amini kwamba kuna siku hata hiyo kazi utaikataa
Basi sawa kiongozi kila la kheri.Watu wa mazingira fanyeni kumsaidia huyu mtaalamu apate chochote kitu maisha mtaani sio mepesi viongoziBachelor of Arts in Geography and Environmental Studies
Kazi yoyote halali nafanya sio lazima iwe ya taaluma yangu, kwahiyo hatakama wewe una connection za saidia fundi niunganishie mkuuBasi sawa kiongozi kila la kheri.Watu wa mazingira fanyeni kumsaidia huyu mtaalamu apate chochote kitu maisha mtaani sio mepesi viongozi
Poa kaka japo sipo Dodoma kwa sasa ngoja kuna jamaa yangu yupo Makulu ntamuulizia huwa anafanya mambo ya ujenziKazi yoyote halali nafanya sio lazima iwe ya taaluma yangu, kwahiyo hatakama wewe una connection za saidia fundi niunganishie mkuu
Sawa bossPoa kaka japo sipo Dodoma kwa sasa ngoja kuna jamaa yangu yupo Makulu ntamuulizia huwa anafanya mambo ya ujenzi