if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima..
Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye gari kwani we dereva hadi utake mwanaume mwenye gari?