Sawa Fellow Tablet senior nilikuwa niwe dogo wako wa ukweli lakini naona mkuu wa jamvi alikuwa anafanya makeke nisiwe Junior lakini wewe ni mkubwa wangu hilo sina ubishi nalo....
Mambo sio mambo
Tablet haziuziki watu wanakimbilia Loliondo...
Karibu mkuu nahisi nina kifaduro kila nikiona sket u2livu ziro kabisa vp tiba ya uhakika ipo mkuu au niwahi tu Loliondo?
Hello wana JF
Nimechoka kukaa Bohari Kuu Ya Madawa pale keko, naomba mnikaribishe kama mlivyowakaribisha Tablets wenzangu ili na mimi niwe mwana JF, naahidi tutashirikiana bega kwa bega katika majukwaa ya MMU, SIASA, HOJA na mengineyo...
Mkuu Katavi naomba unionyeshe pa kujistiri.

Fellow Tablet 1..........karibu,KEKO hawajambo,karibu humu kuna kila kitu pamoja na KEKO yenyewe,ngoja nikuwashie kiyoyozi usije expire bure wakati tunasubiri wenyeji wengine,ila zingatia kanuni na taratibu..........................kumbuka unaweza sababisha milipuko kama ya ya mbagala