Naombeni wataalamu msaada wa kupata frequence za chaneli za Kenya na Uganda zinazoshika kwenye satelite dish pia nasikia Mlimani tv,Dtv na Zbc pia zina frequence zake pia zinapatikana free.NITASHUKURU SANA WANAJF WENZANGU.
Mshumaa nimezipata nyingi kwenye dish langu kuna rnb tatu moja ile kubwa ndo kuna local chaneli mbili n zile ndogo moja inaonesha chanel 3 za kenya k24,kbc na family ila imebaki k24 zingine zimeacha kuonesha zinapatikana kwenye fre 11026 v s rate 9690 ila ninatumia receiver ya mediacom 930 nifanyeje na je vp una fre za local chanel kv dtv,zbc,mliman tv na iman tv nisaidie ndugu?
Citizen utaipata palepale zilipo local channel za tz ila waweza poteza baadhi ya channel na zile za kenya hazina signal kali sana kwa hiyo kuziunganisha kwenye dish moja ni shida na kwa receiver unayotumia huwezi zikamata zile za degree 72.1 USHAURI
Tafuta receiver ya mpge4 ukitaka ku enjoy na channel nyingi. Ni pm nikusaidie kwani wewe uko pande zipi kwa hii tz.
Kwa dish size gani?