Naombeni dawa ya mapenzi tafadhali

Kazi sana kumpata mtu atakyekupenda kwa dhati,kukujali,kukuheshimu na kukuthamini hata kama una mapenzi ya dhati!!Ni shughuli pevu I surrender!!
 
Kuna mapenzi na uzinzi.watu wengi wanafanya uzinzi.kama hautaki umia oa mke wako mpendane kuliko fanya uzinzi.
 
Kazi sana kumpata mtu atakyekupenda kwa dhati,kukujali,kukuheshimu na kukuthamini hata kama una mapenzi ya dhati!!Ni shughuli pevu I surrender!!

Ni sahihi Sana sio rahisi kumpata akupendaye kwa dhati. Ila wapo wengi tu tatizo La wengi wetu we do expect alot toka kwa wapenzi wetu,,,expectations nyingi mno ambazo hupelekea kuvunjika mioyo
Anza kwanza kuonyesha upendo wa dhati and it will reflect kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…