Mimi sitaki kusema mengi jaman ila kila mtu anajua mapenz yanavyozingua
hebu 2peane njia za kuinjoy mapenz bila stress!
Kwa wanahisabati,
Love(L) is complex therefore it has two parts imagenary part and real part.
ie L = ai + b
a&b ni namba tu
Kwa hiyo kokotoa hesabu yako
Mimi sitaki kusema mengi jaman ila kila mtu anajua
mapenz yanavyozingua
hebu 2peane njia za kuinjoy mapenz bila stress!
Khaa!! When? Who? Where? Maana kama unatabiri hivi..dawa ni moja tu, usiingie mapenzini kwa kubipu kisa utapigiwa, ingia at
the right tym, with the right person, and at the right place, utaenjoyyyyyyyyyy!
Siyo muku?Dawa yake ni......daah nimesahau.
seriously unataka mapenzi yasiyo na stress? masturbation is more or less your line
dawa ni moja tu, usiingie mapenzini kwa kubipu kisa utapigiwa, ingia at
the right tym, with the right person, and at the right place, utaenjoyyyyyyyyyy!
Tatizo binadamu (wazima wa afya) tumeumbwa kwa 'mabati', na mapenzi ni 'sumaku', yanatuvuta. Tuko kwenye jamii ambayo ndo mapenzi yenyewe, hivyo kutokujiingiza ktk mapenzi kwahitaji kazi ya ziada kweli kweli.
Kwanza usipende kujenga fikra negative things juu ya mpenz wako,pili usipende chunguza xna mwenzako mfano kuangalia sms kwenye cmu yake kingine mfanye mtu wako kama rafiki wa kawaida mfano kutaniana au kuchekeshana vitu mbalmbali ukifanya ayo utaenjoy sana mpendwa.
Dawa ni moja tu, usiingie mapenzini kwa kubipu kisa utapigiwa, ingia at
the right tym, with the right person, and at the right place, utaenjoy!