Naombeni content ya kipekee isiyoboa kama vile drip check ya msanuaji

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,717
Reaction score
57,245
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
 
Kama unaenda ulaya hiyo pekee ni fursa .

Ni fursa kivipi kipindi Ambacho unakuwa Free unapita baadhi ya maeneo na kuonesha Maisha ya ulaya ya nchi uliyopo.

Faida ni kuwa utakuwa na watazamaji wengi kutoka nchi tofauti tofauti.

Content zinakuwa based
Kiutamaduni
Fursa kama ajira /Biashara
Na mambo ya recreation and Entertainment.
 
Ila itategemea unahitaji ukue kivipi

Mfano kwa Tanzania ukizungumzia ngono , mpira utawapata wengi.

Ila ukitaka kukua Sana uwe Kama yule jamaa anajiita IBM unakuwa na mada ambazo zipo well constructive na hapo utafatiliwa Sana .
 
Mkuu ukifika huko nisaidie bajeti ya vifaa.
Natarajia kuanza hii mambo ya ku create content baada ya uchaguzi
 
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
FB_IMG_1753856404003.jpg
 
Ila itategemea unahitaji ukue kivipi

Mfano kwa Tanzania ukizungumzia ngono , mpira utawapata wengi.

Ila ukitaka kukua Sana uwe Kama yule jamaa anajiita IBM unakuwa na mada ambazo zipo well constructive na hapo utafatiliwa Sana .
IBM uku wa mwafirika..yuko vizuri Sana

Ok.kwa Mimi ambaye Naenda shule kwa Ishu za environmental yafaa NI deal zaidi na hizo maada sasa ndo sijui NI content ipi ambayo pia itakuwa in entertainment Kiasi chake..au kuhoji watu beach?
 
Kuwa Content creators , inakuhitaji uwe unadili na jambo kwa muda mrefu .

Mfano ukiwa umejikita katika mahusiano kaa umo umo ili ujenge watu kukuelewa.

Ikiwa katika Abroad Experience , base umo umo.

Yaani in short angalia wenzetu wanafanya Kama wazungu then wewe utapata idea na kuongeza ubunifu.

Mfano watu wanaofanya umbea mtandaoni ambao wamekuwa na consistence ndo wanapata kukua.

The same wanaofanya mapishi n.k.

Wanofanya life coach Kama Joel Nanauka n.k

Issue hapo unaangalia nini unaweza

Ikiwa utakuwa unashare life experience ya ulaya na utamaduni wao hii itakukuza haraka .

Mfano mdogo Baba Levo alipoenda marekani aliikuuza Channel yake ya online kwa haraka kwakuwa watu hasa wa East Africa wanapenda kuona mazingira na life experience ya marekani , ulaya n.k

So go for it
 
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
Unataka kuingia kwenye ulimwengu wa WENYE VIPAJI ukiwa huna KIPAJI. Maajabu ya karne
 
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje ya nchi ambapo naamini naweza kuwa na vifaa vyote vyenye ubora vya production natamani na Mimi niingie kwenye huu ulimwengu wa kuonyesha kipaji Katika mitandao ya kijamii pengine ikawa bahati kwangu nikawa maarufu ila kila nikifikiria cha kufanya nakosa ebu nambie rafiki yangu wewe wa jf Una idea gani uniuzie ambayo nzuri haiboi.
DR HAYA LAND 30 JR
Mshana Jr
Unaweza kufanya behind the scene session? Hiv mnakosaje content wazee na mitaji mnayo? Mm naona gep kibao tu za kudili nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom