naombeni contacts za wachina wa aluminium

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
msaada kwenye tuta wandugu!
Nina haraka ya kufix alminium kwenye madirisha yangu....nimeambiwa kuna wachina wanapiga kazi balAa tena kwa bei rahisi...anybody with their contacts???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…