GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,116
- 2,248
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili. Ni matumaini yangu mnaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya covid 19.
Lengo la kuja hapa ni kuomba kueleweshwa. Ninaanza kwa kutoa mfano; nina mashamba kumi yakiwa sehemu tofauti tofauti ndani ya kijiji au kata moja.
Ninampango wa kuchora ramani inayoonesha mashamba yote na coordinates (longitudes and latitudes) zake. Je kuna app yoyote ambayo naweza kuitumia katika kutrack mashamba na kuchora ramani?
Au ni vipi naweza kuchora ramani itakayojumuisha mashamba yote?
Wajuzi naombeni mnijuze
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app