Naombeni ajira msinichoke bado sijapata

Naombeni ajira msinichoke bado sijapata

Depretty

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
248
Reaction score
99
Habarini tena humu ndani, nadhani hii sio mara ya kwanza kuandika uzi wa kuomba ajira katika jukwaa hili,,elimu yangu ni kidato cha nne,nimepitia mafunzo ya uhudumu kwa wateja(customer care &services).

Pia nina ujuzi wa kutumia kompyuta katika nyanja mbalimbali mfano,publisher, word,excel na nyinginezo,umri wangu ni miaka 25 jinsia ya kike kazi nilizowai kufanya ni,kuuza duka la nguo,salon ya kiume yaani kama muhudumu wa salon kama vile kufanya usafi,kuscrub.

Hivyo naomba mwenye kuweza kunipatia ajira ya kuweza kuni patia kipato kama vile kwenye,supermarket,maduka,betting center, salon,stationery (japo sina uzoefu ila niko tayr kujitolea hat kwa wiki moja au mbili ili niweze pat uzOefu zaidi)migahawani,kwenye hotel/ofisi nikiwa kama mapokezi,mfanya usafi maofisi au msaidizi wa ofisi(muandaa chai na kazi zingine)shukrani napatikana dar es salaam tabata kinyerezi.


Natanguliza shukrani
 
habarini tena humu ndani,
nadhani hii sio mara ya kwanza kuandika uzi wa kuomba ajira katika jukwaa hili,,elimu yangu ni kidato cha nne,nimepitia mafunzo ya uhudumu kwa wateja(customer care &services) pia nina ujuzi wa kutumia kompyuta katika nyanja mbalimbali mfano,publisher, word,excel na nyinginezo,umri wangu ni miaka 25 jinsia ke
kazi nilizowai fanya ni,kuuza duka la nguo,salon ya kiume yaani kama muhudumu wa salon kama vile kufanya usafi,kuscrub
hivyo naomba mwenye kuweza kunipatia ajira ya kuweza kuni patia kipato kama vile kwenye,supermarket,maduka,betting center, salon,stationery (japo sina uzoefu ila niko tayr kujitolea hat kwa wiki moja au mbili ili niweze pat uzOefu zaidi)migahawani,kwenye hotel/ofisi nikiwa kama mapokezi,mfanya usafi maofisi au msaidizi wa ofisi(muandaa chai na kazi zingine)shukrani
napatikana dar es salaam tabata kinyerezi.
nisaidieni jamani!
Ngoja tusubiri wenye kampuni waje.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
umejieleza vyema sana, naamini watakuja watakaoweza kukusaidia hatimae ukafanikiwa kupata ajira !' kila la kheri

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Nahitaj dada wa salon ya kiume

Kazi ni Kazi
 
Chunga sana, utaliwa mijitu haina huruma..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
dada kama vipi kopa,na ujiajiri tu maana usawa huu mambo yamekua magumu sana,
kamauko dsm,tafua mtajiuende kibiti ukachukue machungwa au mihogo uanze biashara,ukitaka kuja kibiti kufuata bidhaa kati ya mihogo au machungwa tuwasiliane dada.
 
Back
Top Bottom