Naombeni ajira msinichoke bado sijapata

Habarini tena humu ndani, nadhani hii sio mara ya kwanza kuandika uzi wa kuomba ajira katika jukwaa hili,,elimu yangu ni kidato cha nne,nimepitia mafunzo ya uhudumu kwa wateja(customer care &services).

Pia nina ujuzi wa kutumia kompyuta katika nyanja mbalimbali mfano,publisher, word,excel na nyinginezo,umri wangu ni miaka 25 jinsia ya kike kazi nilizowai kufanya ni,kuuza duka la nguo,salon ya kiume yaani kama muhudumu wa salon kama vile kufanya usafi,kuscrub.

Hivyo naomba mwenye kuweza kunipatia ajira ya kuweza kuni patia kipato kama vile kwenye,supermarket,maduka,betting center, salon,stationery (japo sina uzoefu ila niko tayr kujitolea hat kwa wiki moja au mbili ili niweze pat uzOefu zaidi)migahawani,kwenye hotel/ofisi nikiwa kama mapokezi,mfanya usafi maofisi au msaidizi wa ofisi(muandaa chai na kazi zingine)shukrani napatikana dar es salaam tabata kinyerezi.

Natanguliza shukrani
Karibu elnet africa LTD upaje ajira yako huna haja ya kuhangaika nichek wasap 0753901610

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msinisahau wanajf..bado sijafanikiwa,nipo tayr kujitolea hata kwa kazi ambayo sina uzoefu nayo walau mwezi mzima,baada ya hapo kama utaona nafaa kuajiriwa basi tutafanya makubaliano.
 
Kuwa mvumilivu na wew sasa daah..kwan wangap hawana ajira? Au your the best than others?? Sometimes silent explain more than words.
Learn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini tena humu ndani, nadhani hii sio mara ya kwanza kuandika uzi wa kuomba ajira katika jukwaa hili,,elimu yangu ni kidato cha nne,nimepitia mafunzo ya uhudumu kwa wateja(customer care &services).

Pia nina ujuzi wa kutumia kompyuta katika nyanja mbalimbali mfano,publisher, word,excel na nyinginezo,umri wangu ni miaka 25 jinsia ya kike kazi nilizowai kufanya ni,kuuza duka la nguo,salon ya kiume yaani kama muhudumu wa salon kama vile kufanya usafi,kuscrub.

Hivyo naomba mwenye kuweza kunipatia ajira ya kuweza kuni patia kipato kama vile kwenye,supermarket,maduka,betting center, salon,stationery (japo sina uzoefu ila niko tayr kujitolea hat kwa wiki moja au mbili ili niweze pat uzOefu zaidi)migahawani,kwenye hotel/ofisi nikiwa kama mapokezi,mfanya usafi maofisi au msaidizi wa ofisi(muandaa chai na kazi zingine)shukrani napatikana dar es salaam tabata kinyerezi.

Natanguliza shukrani
Marital stutus je

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom