Naomben ushauri !!!!!!!!!!!!!!!!!

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Jamani naombeni ushauri wenu jamani wadau, nina mdogo wangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate mwaka 2010 akapata div 4 akarudia tena mwaka 2011 kapata div iii ya pnt 17 yani gs f,hist s, geog f,kisw d, sasa naomba mnisaidie hataki tena kurudia mtihani kwani anadai hana hamu tena kwajinsi alivo kuwa anasoma na kujitahidi mazoezi darasan hata mimi mwenyew shahidi alikuwa anapata pass nzuri bt national wamefeli sana karibu kituo kizima sasa nimsaidiaje huyu dogo je anaweza kuendelea na au kozi gani itamfaa hata kwa diploma sababu habari ya kafanya tena mtihani wa private hana hataki hata kusikia ,naombeni ushauri wana jf plz
 
Easy.. Muulize yeye mwenyewe anataka nini... Mtampangia vipi mtu mzima amemaliza Form 8 .. yaani Form4 times 2..

Kumbuka unaweza peleka punda mtoni ..ila hauwezi lazimisha kunywa maji...

Mpe kazi hiyo yeye mwenyewe halafu wewe pima mizani ya chuguo moja kati ya pendekezo zake.. sio wewe umchagulie...
 
Back
Top Bottom